Herufi

na Akili – Akili and Me

1.0.0 bởi Ubongo
Oct 11, 2021

Về Herufi

Rudi shule na Akili! Ứng dụng Tumia yake BURE kujifunza HERUFI kwa Kiswahili fasaha!

Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?

App yetu ya “Herufi na Akili” itampatia mwanao msingi imara wa Elimu!

App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya # Akili's Alphabet: Game # 1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara Cửa hàng Play 10.000 kwenye!

“Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. Ứng dụng hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza manno mapya!

Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili và Tôi.”!

Mwanao atajifunza na Happy Hippo, Bush Baby na Little Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili và tôi."

Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!

Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Kids”, ứng dụng wameitengeneza hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:

FAIDA

- Atambue sauti za herufi.

- Afananishe herufi.

- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe.

- Ách kwa uhuru.

- Tiêu kujifunza.

VILIVYOMO

- Jifunze zaidi ya Mamno 80 mapya.

- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.

- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6.

- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu.

- Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote.

- Inafanya kazi BILA MTANDAO.

Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja.

Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!

Wangoja nini? Ipakue sasa BURE!

KIINGEREZA - ALPHABET CỦA AKILI

Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Bảng chữ cái của Akili" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na manno mapya kwa lugha ya Kiingereza.

"Bảng chữ cái của Akili" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili và tôi." Tafuta tu "Bảng chữ cái của Akili" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU "AKILI VÀ TÔI"

“Akili and Me” ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, waterngenezaji wa “Ubongo Kids” na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika.

Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili.

Njoo ufurahi na Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya).

KUHUSU UBONGO

Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vyafi mtandaoni kuwa popote nhạt.

Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Kids” na “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika.

ONGEA NASI

Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.

Thông tin thêm Trò chơi

Phiên bản mới nhất

1.0.0

Được tải lên bởi

Fredi Ocampos

Yêu cầu Android

Android 4.4+

Available on

Báo cáo

Gắn cờ là không phù hợp

Hiển thị nhiều hơn

Use APKPure App

Get Herufi old version APK for Android

Tải về

Use APKPure App

Get Herufi old version APK for Android

Tải về

Các trò chơi như Herufi

Xem thêm từ Ubongo

Phát hiện