Use APKPure App
Get Herufi old version APK for Android
Rudi shule na Akili! Tumia app yake BURE kujifunza HERUFI kwa Kiswahili fasaha!
Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu?
تطبيق Yetu ya "Herufi na Akili" itampatia mwanao msingi imara wa Elimu!
App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game # 1 ya Elimu تنزانيا yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store!
"Herufi na Akili" inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. App hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamkaherufi na kumfunza maneno Mapya!
Mtoto wako atafurahia ELIMU na app hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya "Akili and Me."!
Mwanao atajifunza na Happy Hippo، Bush Baby and Little Lion، akiimba na kusikiliza nyimbo zaherufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me".
Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu!
Ubongo، ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya "Ubongo Kids"، wameitengeneza app hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako:
فايدة
- Atambue sauti zaherufi.
- أفانانيشي هيروفي.
- Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe.
- Acheze kwa uhuru.
- Apende kujifunza.
VILIVYOMO
- Jifunze zaidi ya maneno 80 Mapya.
- Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto.
- Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6.
- Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu.
- Ni BURE kabisa. هاكونا غراما زوزوت.
- Inafanya kazi BILA MTANDAO.
Ubunifu wa "Herufi na Akili" ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa app hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja.
Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanishaherufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake!
وانغوجا نيني؟ Ipakue sasa BURE!
KIINGEREZA - أبجدية أكيلي
Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya app hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti zaherufi na maneno Mapya kwa lugha ya Kiingereza.
"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili، huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me". Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.
KUHUSU "AKILI AND ME"
"Akili and Me" ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa "Ubongo Kids" naprogramu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika.
Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! إمبا نامبا! شيزا هيروفي! Cheka، chora، na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili.
Njoo ufurahi na Little Lion, Happy Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (كينيا).
KUHUSU UBONGO
Ubongo ni kampuni ya kijamii ya تنزانيا inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote Pale walipo.
Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya "Ubongo Kids" na "Akili and Me" vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika.
ONGEA ناسي
Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia info@ubongo.co.tz. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.
محمل
Fredi Ocampos
Android متطلبات النظام
Android 4.4+
الفئة
Use APKPure App
Get Herufi old version APK for Android
Use APKPure App
Get Herufi old version APK for Android