下載 APKPure App
可在安卓獲取Mazoezini的歷史版本
Mazoezini ni app inayokupa muongozo wa kufanya mazoezi mepesi。
Mazoezini app inalenga katika kukupa muongozo wa namna ya kufanya mazoezi ya viungo. App hii ina aina mbalimbali za mazoezi utakayotakiwa kufanya kwa kufuata maelekezo yaliyotolewa kitaalamu. Katika kila aina ya zoezi utatakiwa kumaliza kwa muda husika ili uweze kuendelea na zoezi lingine.Last updated on 2020年02月24日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Mazoezini
1.0 by SwahiliTech.net
2020年02月24日