We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

Ufugaji Bora Kibiashara Capturas de pantalla

Acerca del Ufugaji Bora Kibiashara

Aplicación maalum kwa kutoa mafunzo juu ya ufugaji kibiashara kwa njia rahisi

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji kibiashara kwa njia rahisi. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yu ipo sambamba na Website yu maalum ya dfcveterinarycentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comentarios.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.

Correo electrónico: [email protected]

WhatsApp: 0762 799 080.

Sitio web: www.dfcveterinarycentre.com

NÓTESE BIEN. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.

Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Novedades de Última Versión 2.4

Last updated on 21/07/2024

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Traductorio...

Información Adicional de Aplicación

Última Versión

Solicitar Ufugaji Bora Kibiashara Actualización 2.4

Presentado por

Andika Prasetia

Requisitos

Android 5.0+

Mostrar más
Suscríbete a APKPure
Sé el primero en obtener acceso al lanzamiento anticipado, noticias y guías de los mejores juegos y aplicaciones de Android.
No, gracias
Suscribirme
¡Suscrito con éxito!
Ahora estás suscrito a APKPure.
Suscríbete a APKPure
Sé el primero en obtener acceso al lanzamiento anticipado, noticias y guías de los mejores juegos y aplicaciones de Android.
No, gracias
Suscribirme
¡Éxito!
Ya estás suscrito a nuestro boletín electrónico.