Ufugaji Bora

Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu

1.0 by Chengula
2020年10月22日

关于Ufugaji Bora

App Bora kwa kujifunza Ufugaji wa Wanyama kitaalamu,ushauri mzuri wa Wataalamu

Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji wa wanyama mbalimbali kitaalamu kupitia App hii bora ya Ufugaji Bora

Kupitia App hii utaweza kujifunza mbinu na kanuni bora na za kitaalamu za ufugaji wa wanyama kama vile Kuku wa aina zote , Ng'ombe, mbuzi kondoo, samaki, bata, Nyuki, nguruwe

Lakini pia Kupitia App utajifunza kuhusu magonjwa mbalimbali na Tiba bora za Magonjwa ya Wanyama

Pia utaweza kupata Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea zaidi kwenye Ufugaji wa wanyama mbalimbali kutoka vyuo na taasisi za utafiti Tanzania na nje ya Tanzania

Usisahau kutembelea Tovuti yetu kwa anuani ifuatayo ==>>www.ufugaji.co.tz

最新版本1.0更新日志

Last updated on 2021年02月27日
-Makala bora zaidi za Ufugaji zimeongezwa
-Makala zote za ufugaji bora wa wanyama
-Unaweza kusoma makala hata bila kuwa na Data
-Rangi za kuvutia
-Bug fixed

更多应用信息

最新版本

1.0

上传者

Julie Kathleen Stoddard

系统要求

Android 5.0+

举报

举报不当内容

更多

下载 APKPure App

可在安卓获取Ufugaji Bora的历史版本

下载

下载 APKPure App

可在安卓获取Ufugaji Bora的历史版本

下载

Ufugaji Bora相关应用

Chengula 开发者的更多应用

最新发现