We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

MAKAZI 屏幕截图

关于MAKAZI

Ramani za Nyumba,Makadirio,Mafundi,Ushauri,Viwanja,Vifaa ktk Ujenzi Makazi!

MAKAZI ni mtandao mahususi Afrika Mashariki unakuletea huduma za ujenzi makazi jirani na wewe muda wote kupitia simu yako ili uweze kufanikisha ujenzi wa nyumba ya ndoto yako kwa UBORA,UHAKIKA na UNAFUU zaidi!

Fanikisha Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!

Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Ramani za nyumba za kisasa,Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu,Kuunganishwa na mafundi ujenzi,Kufan​​ya makadirio ya gharama na vifaa,Kuunganishwa na wauzaji wa vifaa na viwanja vya makazi。 Huduma hizi zinaendelea kuboreshwa na kusambazwa ili ziweze kuwafikia na kuwanufaisha wengi zaidi。

Baadhi ya vitu vilivyosukuma kuileta MAKAZI kwako ni kutokana na watu wengi kukosa msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujenzi wao ktk kiwango duni na mara nyingine kutumia fedha nyingi zaidi ya inavyotakitawa。 Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu wengi zaidi na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri。 Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!

Anza kufanikisha nyumba ya ndoto yako sasa!

Ramani za Nyumba,Makadirio,Ushauri,Mafundi,Vifaa,Viwanja ......!

最新版本3.7.0更新日志

Last updated on 2020年01月21日

Fast search feature
Questions and answers
Fix broken links

翻译中...

更多应用信息

最新版本

请求 MAKAZI 更新 3.7.0

上传者

Hera Arba Saputra

系统要求

Android 4.1+

Available on

MAKAZI 来源 Google Play

更多
语言
订阅APKPure
第一时间获取热门安卓游戏应用的首发体验,最新资讯和玩法教程。
不,谢谢
订阅
订阅成功!
您已订阅APKPure。
订阅APKPure
第一时间获取热门安卓游戏应用的首发体验,最新资讯和玩法教程。
不,谢谢
订阅
成功!
您已订阅我们的邮件通知。