Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de Sala na Maombi para Android
Jiweke Karibu na Mungu Kupitia Sala, Ibada na Maombi Yenye Mafanikio Kiroho
Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii.
App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;
1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vil:-
✔Ndoa/Mahusiano
✔Kazi
✔Msamaha
✔Masuala ya kifedha
✔Uponyaji
✔Nguvu za giza na mengine mengi.
2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.
3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Bíblia.
4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vil: -
✔Uponyaji
✔Upendo
✔Msamaha
✔Ufufuo
✔Ndoa/Mahusiano
✔Imani nakadhalika
5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.
Mbali na hayo yote App hii inakupatia / itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vil: -
✔Nyimbo de Injili
✔Tenzi za Rohoni
✔Nyimbo de Wokovu
✔Nyimbo za Ibada
✔Mwimbieni Bwana
✔Nyimbo de Kristo
✔Nyimbo de Imani Yetu
✔Nyimbo de Wasanii Mbalimbali
VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII;
1. Sala na Maombi
2. Ibada Kila Siku
3. Visto pela Bíblia
4. Gunduzi Muhimu
5. Unabii
6. Nyimbo za Ibada
7. Mafundisho ya Biblia
NOTA: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.
Last updated on Nov 22, 2024
Maombi na Sala
Mafundisho ya Biblia
Masomo na Mahubiri
Enviado por
Ahmed Maher
Requer Android
Android 5.0+
Categoria
Relatório
Sala na Maombi
ya Kweli9.8 by Sachatech Ltd
Nov 22, 2024