Use APKPure App
Get Udaku Daily Tanzania old version APK for Android
Udaku Daily Tanzania ni app itakayokujulisha kuhusu umbea na skendo za mastaa
Download Udaku Daily Tanzania ili upate habari za kamili na za upesi kwa smartphone yako kupitia notifications pindi tu tunapochapisha taarifa.
Pata habari zote za Udaku wa mastar mbalimbali kutoka ndani na nje ya Bongo. Ubuyu, Skendo za maceleb na Umbea wote wa wasanii wa bongoflava na BongoMovie utazipata hapa. Kuanzia wasanii kama Wema Sepetu, Diamond Platnumz, Ali Kiba na wengine wengi.
Unaweza kutufikia kwenye barua pepe: [email protected]
Ama kama unataka kuadvertise bidhaa zako kwenye Udaku Daily Tanzania: [email protected]
Jinsi ya kuanza kutumia Udaku Daily Tanzania:
1. Bila kupoteza wakati bonyeza install ili app yetu ya Udaku Daily iweza kuwekwa kwa simu yako.
2. Ikimaliza kudownload, anza kusoma habari zetu.
Usisahau kujulisha rafiki zako wadownload app ya Udaku Daily Tanzania!
Last updated on Aug 10, 2020
FAST ENOUGH
Uploaded by
Yell Yint Aung
Requires Android
Android 4.1+
Category
Report
Udaku Daily Tanzania
9.0.0 by FunHub Apps
Aug 10, 2020