下載 APKPure App
可在安卓獲取Efatha Songea的歷史版本
有效的EFATHA部門SONGEA
HII NI APPLICATION YA EFATHA RUVUMA AMBAYO INAKUWEZESHA KUPATA
MANENO YA MUNGU KIGANJANI KWAKO
Karibu Efatha Ministry songea mahali Yesu anatenda kazi,
Marko 7:34 “Akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Efatha, maana yake, Funguka”.
Natangaza hakuna kitakacho yafunga maisha yako.
Ni jambo gani linalokusumbua?
>Ni magonjwa?,
>uchawi?,
>Umaskini?,
>Una kiu ya kufahamu Neno la Mungu?. Efatha kuna majibu yako,
Efatha ipo kila Mkoa/Wilaya hapa Tanzania.
KWA SONGEA TUNAPATIKANA
Huduma ilianzishwa mwaka 1997.Huduma ya Efatha mkoa wa Ruvuma inaongozwa na Mchungaji kiongozi PHILIPO JAMES GUNI,
>Katika Mkoa wa Ruvuma, Huduma ya Efatha inapatikana Songea eneo la Mkuzo na Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma. AHSANTE NA KARIBUNI SANA
Acha kuteseka, Yesu anasema ” Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. “ (Math 11:28).
Last updated on 2019年03月12日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Efatha Songea
1.0.3 by Wahabarishaji, inc
2019年03月12日