Use APKPure App
Get Mauzo old version APK for Android
Bu uygulama küçük işletme yönetmek için kullanılır.
Mauzo App ni uygulama inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua Kama Biashara yako inatengeneza faida.
Hutumika katiika Biashara ndogo na za kati zinazojiusisha kuuza bidhaa na kununua, kutengeneza na na kuuza bidhaa au kutoa huduma
(Çevrimdışı inatumika) Hauitaji kuwa na Intaneti. Intaneti inatumika wakati wa kujisajili wakati wa kufanya Yedekleme na.
Taarifa (veri) Zako zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona Zeydi yako wewe.
Last updated on May 3, 2021
Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.
Endelea kufurahia huduma hii. Asante!
Yükleyen
Kwee Chaw
Gereken Android sürümü
Android 4.4+
Kategori
Bildir
Mauzo
1.5.2 by diioTZ Labs
May 3, 2021