Use APKPure App
Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android
Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili
Hizi ni hadisi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na İmam Nevev Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadisi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadisi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim ve vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadisi sahihi tu katika hizi hadisi 40.
İmam Nevev pia ameandika vitabu vingi vya hadisi na Fıkıh. Ameandika kitabu cha hadisi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani "BOSTANI LA WAJAWEMA" pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadisi sahihi tu.
Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadisi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.
Last updated on Sep 13, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Yükleyen
Bilal Khan
Gereken Android sürümü
Android 4.4+
Bildir
Hadithi 40 za Imamu Nawawi
2.0 by K Technologies
Sep 13, 2023