Use APKPure App
Get Kilimo Biashara old version APK for Android
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali za kilimo
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali kama verachtelijke Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri en Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
E-mail: [email protected]
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Android-oplossingen
Ontworpen door;
Mshindo Android-oplossingen
Wanging'ombe
Njombé.
WhatsApp: +255 762 799 080
E-mail: [email protected]
Last updated on Mar 2, 2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Geüpload door
Deadspirit Phoom
Android vereist
Android 4.4+
Categorie
Melden
Kilimo Biashara
1.3.7 by Mshindo Media
Mar 2, 2024