Matumizi


0.0.9 oleh diioTZ Labs
Mar 21, 2019 Versi Lama

Mengenai Matumizi

Ni app inayotumika kupanga bajeti na kufuatilia matumizi Yako ya Kila Siku.

Ni app inayotumika kupanga na kufuatilia matumizi yako ya kila siku. Utaweza kupanga bajeti ya mwezi na kutunza raarifa za mapato na matumizi.

Itakusaidia kuwa na nidhamu ya pesa na kukuwezesha kupangilia vyema matumizi yako.

Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.

Taarifa (data) zako za Matumizi zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna mtu anaweza kuziona zaidi yako wewe.

Asante na Karibu Sana !

Apa yang baru dalam versi terkini 0.0.9

Last updated on Mar 28, 2019
Hii ni App Inayokusaidia Kufuatilia Matumizi Yako. Utaweza Kupanga Bajeti na Kutunza Matumizi na Mapato Yako. App hii itakusaidia Kudhibiti Matumizi Yako. Asante na Karibu Sana.!

Maklumat APLIKASI tambahan

Versi Terbaru

0.0.9

Dimuat naik oleh

Backbone

Memerlukan Android

Android 4.1+

Laporkan

Tandai sebagai tidak sesuai

Tunjukkan Lagi

Matumizi Alternatif

Dapatkan lebih banyak daripada diioTZ Labs

Cari