Use APKPure App
Get Jinsi ya Kufanikiwa old version APK for Android
Ni matarajio ya kila binadamu kutaka kufanikiwa maishani mwake.Download App hii
Jinsi Ya Kufanikiwa
Utangulizi
Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.
Simulizi kwa Undani
Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.
Umuhimu wa App hii
- Utajua jinsi ya kufanikiwa.
- Ushauri wa maisha.
- Jinsi ya kuishi.
- Jinsi ya kupata pesa.
- Jinsi ya kutumia pesa n.k.
Wenye Kutumia
- Ulimwengu nzima kama;
- Vijana na watu wazima;
- Wenye wako kwa ndoa;
- Wenye wanatarajia kuingia kwenye ndoa;
- Kenya;
- Tanzania;
- Uganda;
- Sudan;
- Congo;
- Mozambique;
- Australia;
- South Afrika;
- Burundi;
- Rwanda na nchi nyingi sana kwenye bara la afrika.
Mwisho
Download App hi ya Kiswahili ili ujifunze vile unavyo weza kufanikiwa.
Last updated on Jul 15, 2019
- Kuboreshwa kwa App yote.
- App mpya ina mambo yafyatayo:
- Jinsi ya kutumia wakati wako vyema
- Jinsi ya kutumia pesa zako
- Marafiki wako
- Mawazo ya kushtusha
- Kuwa mtu mbunifu
- Tips za kufanikiwa
- Maisha yako
- Ushauri.
- Himizo
- English Version about success.
- Bug fixes.
Dimuat naik oleh
Phong Phật Pháp
Memerlukan Android
Android 4.1+
Category
Laporkan
Jinsi ya Kufanikiwa
4.0 by Alianda
Jul 15, 2019