APKPure Appを使用する
Siri za Mahabaの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
シリ・ザ・マハバなマペンジ・クァンドア・ア・ウペンド・ナ・フラハ。
MWANZO
Kitanda ni kitu cha maana sana kwenye ndoa. Usipojua siri za kitandani wewe kama mume au mke utakuwa na shida nyingi sana kwenye ndoa yako. Ukiwa na simu yako, tafadhali download App hii ili utunze ndoa yako.
Mwanamke ni, mithili ya mtoto mchanga anahitaji kudekezwa vizuri, usigombane nayeye, usibishane nayeye, usimpige wala kumutusi. Mtunze kama mboni ya jicho lako manake mboni huchafukapo jicho huwa mashakani. Kuongezea mwanamume walisema wahenga kuwa dawa ya mwanamume ni mke, hata Rabana alipomuumba adamu, aliona sio vyema adamu aishi pekee yake akamtunuku mwanamke. Mwanamume anafa kupendwa kuheshimiwa pamoja na kupewa mahaba ili kitandani kuwe na mahaba na raha nyingi, mwanamke zingatai yafuatayo utakayo pata kwenye App hii.
Umuhimu wa App hii:
Ndoa ni kitu cha maana sana. Ndoa bila tendo sii ndoa kabisa. App hii ina manufa mengi sana kwa wenye ndoa ili waweze kudhumisha ndoa na waishi kwa Amani. Mume ama mke wote wnashiriki tendo la ndoa na App hii itawasiadia sana ili wapendane na waish kwa Amani. App hii pia itasaidia kuzuia mpango wa kando kwenye ndoa na mengine yafuatayo.
Last updated on 2020年05月22日
-Removed Admob dummy Ads.
投稿者
Daniel Joshua Robles Arevalo
Android 要件
Android 4.1+
カテゴリー
報告
Siri za Mahaba
1.0 by Alianda
2020年05月22日