APKPure Appを使用する
Shule Direct Kidsの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
Chemsha bongo ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABUブレ!
Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchiniTanzania。 App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba、kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma、kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini
Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompachangamoto。 App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awaposhuleni。
FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS
-クペンダくじふんざ
--Kujifunza kwa Uhuru、Muda Wowote、Mahali Popote
--Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1-7
--Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake
--Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi
--Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto、kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu
-クオンゲザウファウル
Pakua Shule Direct Kids App sasa BURE!
KUHUSU SHULE DIRECT
Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji、kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes、chemsha bongo、mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Eli Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo application za simu、mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo waオフライン学習管理システム(LMS)pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi(SMS)。
WASILIANA NASI
Kama una swali、maoni、ushauri、au unahitaji msaada au taaria zaidi、wasiliana nasi kupitia [email protected] Tushirikiane kwa mafanikio ya mtotowaタンザニア。
Last updated on 2022年02月20日
Removing school input during the registration
投稿者
Nan Nyuntkyi
Android 要件
Android 4.1+
カテゴリー
報告
Shule Direct Kids
1.8.12 by Shule Direct Limited
2024年05月28日