Use APKPure App
Get NECTA - Results old version APK for Android
Pata Matokeo Yote Ya NECTA, Past Papers Na Ratiba Zote Za Mitihani.
App hii ya NECTA - Results ni mbadala wa App ya (NECTA Results). App hii imeboreshwa zaidi kuliko ile ya kwanza ambayo ilikuwa inamlazimu mtumiaji kutazama matokeo kwa njia ya Browser. Lakini App iko tofauti kwani inakupa nafasi ya kutazama matokeo moja kwa moja kupitia App bila kupitia kwenye Browser.
Katika App hii utaweza kupata nafasi ya kutazama matokeo yote kuanzia darasa la pili mpaka matokeo ya ualimu yanayotolewa na Baraza la Mtihani Tanzania(NECTA), Bila kusahau past papers mbalimbali za NECTA ambapo mtumiaji anaweza soma kupitia App hii au kudownload kwa PDFs na kujisomea mwenyewe.
Vilevile App hii mbali na kukupatia nafasi kutazama matokeo mbalimbali ya mitihani ya Taifa, pia inakupatia fursa ya kujua habari mbalimbali zilizopo katika bodi mbalimbali za elimu hapa nchini kama vile; Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, NACTE, TCU n.k
Tafadhali Usiache Kupakua App.
Last updated on Dec 6, 2019
Standard Four Results
Standard Seven Results
Form Two Results
Form Four Results
Form Six Results
And All Past Papers
Caricata da
Khin Maung Lwin
È necessario Android
Android 4.1+
Categoria
Segnala
NECTA - Results
9.6 by Bonrods
Dec 6, 2019