از برنامه APKPure استفاده کنید
نسخه قدیمی APK Hadithi 40 za Imamu Nawawi را برای اندروید بگیرید
حدیث 40 za امامو نواوی - Lugha ya Kiswahili
Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar، sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.
امام نوا پیا آمندیکا ویتابو وینگی ویا حدیث نه فقه. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.
Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. کوآ ییوته آتاکایونا کوسا بیسی اوسیلیانه ناسی کو هاراکا زیدی.
Last updated on 13/09/2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
بارگذاری شده توسط
Bilal Khan
نیاز به اندروید
Android 4.4+
دسته بندی
گزارش
Hadithi 40 za Imamu Nawawi
2.0 by K Technologies
13/09/2023