از برنامه APKPure استفاده کنید
نسخه قدیمی APK Chadema Tanzania را برای اندروید بگیرید
Chadema Tanzania ,Tunataka Mabadiliko ya Kweli 2020
App hii imeandaliwa kwa ajili ya wanachama wa chadema
juu ya kuwa habarisha Habari mbalimbali zinazo jiri ndani ya
Chama pamoja na kuhabarisha umma juu ya matukio na
mikasa inayo tokea kuwa husu viongozi wa chama chetu
vile vile app hii inakupa fursa ya kujadili habari mbalimbali na wanachama
wengine kupitia sehemu iliyo andikwa Forum Chat hapo utaweza kutoa maoni yako
mapendekezo yako pamoja na kutuma video,picha za matukio mbalimbali ya kisiasa hususa zinazo husu chadema
pia utaweza ku share mawazo.hoja na mapendekezo yako na wanachama wengine kupitia forum hiyo.
Onyo: Hairuhusiwi kutukana ,ku upload picha za mapenzi ,pamoja kumdhalilisha mtu yoyote katika forum hiyo.
ukibainika unafanya hivyo unaweza ku blockiwa
Chadema tunategeme kupata hoja mbalimbali mawazo juu ya kulikomboa taifa letu nasi kubbughuzi watu wengine.
pia utaweza kuangali watumiaji pamoja na kuchat nao private
Last updated on 04/06/2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
بارگذاری شده توسط
Rajender Singh Mehta
نیاز به اندروید
Android 4.0.3+
دسته بندی
گزارش
Chadema Tanzania
9.2 by SelfMade Technonology
04/06/2019