We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

Tenzi za Rohoni Pro Screenshots

Über Tenzi za Rohoni Pro

Nyimbo za Tenzi za Rohoni na nyimbo za dini kwenye simu yako

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za Injili kwenye simu yako kwa urahisi Muda wowote na mahali popote.

App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (Audio) za nyimbo za Injili bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani Yenu katika Hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na na nyimbo Tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 3.16

Eigenschaften

★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za Tenzi bila intaneti (Offline)

★ Pata Tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya Tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye Tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za Injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi

★ Kuchagua aina ya fonti za Aya

★ Kupanga orodha ya Tenzi au nyimbo za Injili kwa kufuata Alfabeti

Was ist neu in der neuesten Version 2.0.4

Last updated on Apr 10, 2020

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Übersetzung wird geladen...

Zusätzliche APP Informationen

Aktuelle Version

Tenzi za Rohoni Pro Update anfordern 2.0.4

Erforderliche Android-Version

4.0.3

Mehr anzeigen
Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolgreich abonniert!
Sie haben jetzt APKPure abonniert.
Abonnieren Sie APKPure
Erhalten Sie als der Erste den Zugang zu Vorabversionen, Neuigkeiten und Anleitungen der besten Android-Spiele und -Apps.
Nein, danke
Anmeldung
Erfolg!
Sie sind jetzt unseren Newsletter abonniert.