We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

Shule Direct Kids 屏幕截图

关于Shule Direct Kids

Chemsha 邦戈 ujifunze KUSOMA KUANDIKA na KUHESABU bure!

Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania。 App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzania。

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto。 App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni。

FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS

- Kupenda kujifunza

- Kujifunza kwa Uhuru、Muda Wowote、Mahali Popote

- Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7

- Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake

- Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi

- Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu

- Kuongeza ufaulu

Pakua Shule Direct 儿童应用程序 sasa BURE!

库胡苏舒乐直销

Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini 坦桑尼亚 lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuongeya uokeli. Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu ya msingi na。 Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo 应用程序 za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa 离线学习管理系统 (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS)。

瓦西利亚纳纳西

Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia [email protected] Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania。

最新版本1.8.12更新日志

Last updated on 2022年02月20日

Removing school input during the registration

翻译中...

更多应用信息

最新版本

请求 Shule Direct Kids 更新 1.8.12

上传者

Nan Nyuntkyi

系统要求

Android 4.1+

Available on

Shule Direct Kids 来源 Google Play

更多
订阅APKPure
第一时间获取热门安卓游戏应用的首发体验,最新资讯和玩法教程。
不,谢谢
订阅
订阅成功!
您已订阅APKPure。
订阅APKPure
第一时间获取热门安卓游戏应用的首发体验,最新资讯和玩法教程。
不,谢谢
订阅
成功!
您已订阅我们的邮件通知。