下载 APKPure App
可在安卓获取Mwanzafrika的历史版本
Habari的,Magazeti,Elimu,Afya,Ajira,Matukio雅Kihistoria呐Vipindi vya收音机
Mwanzafrika App ni App inayokupatia Habari Mbalimbali zikiwemo za : Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Uchumi na Biashara. Vilevile App hii Inakupa Fursa ya Kujua Matukio ya Kihistoria Yaliyokwisha Kutokea Ndani na Nje ya Nchi Bila Kusahau Hadithi na Riwaya Tamu. Vilevile Utaweza Kupata Dondoo mbalimbali za Afya na Kusikiliza Vipindi Mbalimbali vya Radio
App Hii Imegewanyika katika sehemu zifuatazo:
Habari
Ajira & Elimu
Afya
Hadithi & Riwaya
Magazeti
Leo Katika Historia
Usiache Kupakua App Hii.
Last updated on 2018年05月16日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Mwanzafrika
8.2 by Bonrods
2018年05月16日