下载 APKPure App
可在安卓获取Maduka Yetu的历史版本
Maduka Yetu inarahisisha upatikanaji wa Biashara Mtandaoni。
Maduka Yetu inarahisisha upatikanaji wa Biashara Mtandaoni.
MadukaYetu inaorodhesha Huduma na Bidhaa kwenye jamii yetu kwa ajili ya Watu Wetu!
Kwa Muuzaji: Fikia soko kwa upana zaidi.\nMadukaYetu, ni ya Watu Wetu, kwenye jamii yetu!
Kwa Mteja: Unacho kipenda, ndicho unacho kiona. MadukaYetu inajifunza tabia zako, na kupendekeza kulingana na mahitaji yako.
Karibu.
Last updated on 2021年11月03日
Asante kutumia MadukaYetu
Kwenye toleo hili:
- Tume update UI elements mbalimbali
- Maboresho madogo madogo (Bug fixes & Performance Improvements)
Maduka Yetu
2.33.11 by Nyayo Zangu Labs
2021年11月03日