Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de SMS Moto para Android
App Mpya ya SMS em Mahaba na Mapenzi. Dumisha penzi lako kwa kutumia Aplicativo hii.
App hii ni ya kukuwezesha kutuma SMS za Love ama Upendo kwa mpenzi wako. Ukitaka mpenzi wako ajue kwamba unampenda, App hii ni ya maana sana kwako na uta furahia sana utunzi wa App hii.
Kwa ufupi, App hii itakusaidia kuzidisha mapenzi, Love, Romance, Uhuba, Upendo, Urafiki n ahata kufanya mpenzi wako akupende sana kuliko zamani.
Watakao tumia App hii:
- Wapendanao;
- Wasichana;
- Wavulana;
- Wana familia;
- Wazazi;
- Love birds;
- Watu ambao wako na uhusiano wa ndani sana.
Yaliyomo:
- Jumbe za mahaba;
- SMS za upendo;
- SMS ya mapenzi;
- SMS za msichana;
- SMS za uhusiano;
- SMS za kubembeleza;
- Message za mapenzi;
- SMS za usiku;
- SMS za kuudhi;
- SMS za usiku mwemwa;
- SMS za urafiki;
- SMS kwa umpendae.
Download this App, Rate and Share.
Last updated on Apr 12, 2020
-Removed Dummy Ads.
Enviado por
Abhijith Reji Ambady
Requer Android
Android 4.1+
Categoria
Relatório
SMS Moto
za Mapenzi ❤1.0 by Alianda
Apr 12, 2020