Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de Kilimo Biashara para Android
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali za kilimo
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali kama vil Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Site yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org . Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Site) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
E-mail: [email protected]
WhatsApp: +255 762 799 080
.
**************************************************** ***************
Soluções Android
Projetado por;
Soluções Mshindo Android
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
E-mail: [email protected]
Last updated on Mar 2, 2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Enviado por
Deadspirit Phoom
Requer Android
Android 4.4+
Categoria
Relatório
Kilimo Biashara
1.3.7 by Mshindo Media
Mar 2, 2024