Usar o APKPure APP
Obter o APK da versão antiga de Biblia para Android
A Bíblia Sagrada em suaíli - a Bíblia Swahili
Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible
Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".
Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".
Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.
Last updated on Feb 13, 2020
sisi imesababisha shambulio, utendaji bora na kuongezea baadhi ya vipengele
Enviado por
Huy Hoàng
Requer Android
Android 4.1+
Categoria
Relatório
Biblia
Takatifu ya Kiswahili5.6.5 by ⭐ Wiktoria Goroch ⭐
Feb 13, 2020